Skip to main content
 

Kuhusu Sisi

Kampuni yetu inajishughulisha na Ufugaji wa Kuku, Uuzaji na Usambazaji wa chakula cha Kuku, Huduma ya Supermarket, Usahauri wa kitaalamu kuhusu Ujenzi wa mabanda ya kufugia kuku. Tunatoa huduma za kuaminika na za kitaalamu ili kuhakikisha unapata matokeo bora. Tunajivunia uzoefu wetu na dhamira yetu ya kukidhi mahitaji ya wateja wetu.

Huduma Zetu

Huduma ya Supermarket

Kilimo cha Kuku na Uuuzaji wa Chakula cha Kuku

Utafiti wa Madini

Huduma za Usafiri

Usimamizi wa Miradi

Usimamizi wa Majengo

Wasiliana Nasi Sasa

Tujulishe jinsi tunaweza kusaidia biashara yako.

Testimonials

Huduma Bora Zaidi!

Nilifurahia sana huduma kutoka kampuni hii. Walifanya kazi nzuri katika mradi wangu wa ujenzi.

Wataalamu Wenye Ujuzi!

Nimekuwa nikifanya kazi na kampuni hii katika kilimo cha kuku; huduma zao ni za kipekee.

Uaminifu na Ubora!

Nilijaribu huduma zao za madini, na walikidhi matarajio yangu kwa kiwango cha juu.

Wasiliana Nasi